Nafikiri ianzishwe JF adverts . unarusha mpesa kiasi fulani kwanza ndio tangazo lako hewani sio bure bure Invisible and others....
Yeah, wazo zuri sana Mkuu. Pia ukitaka kusubmit post YOYOTE unalipa jero kwa mpesa, hii itasaidia kupunguza post zisizo na mashiko.
duh kila kitu mnapinga. Sasa nini maana ya matangazo madogo?? apeleke wapi tangazo. Binafsi sijaona kosa lake mpka kusema post haina mashiko.
NB: Fairness ndio msingi wa ubinadamu
HAUJANIELEWA; nimemquote huyo jamaa anayesema matangazo madogo yawe yanalipiwa.
Nafikiri ianzishwe JF adverts . unarusha mpesa kiasi fulani kwanza ndio tangazo lako hewani sio bure bure Invisible and others....