House4Rent Chumba na sebule vinapangishwa kinyerezi

Iboya2021

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2020
Posts
1,616
Reaction score
1,481
WANA JF,

no eneo zuri kwa makazi liko juu hakuna hofu ya mafuriko karibu na kituo cha magari yaendayo mjini kiujumla ni mahali salama kwa makazi being 100,000 kwa mwezi mawasiliano 0699 522471.

Karibuni

 
wakuu habari za muda huu chumba bado kiko wazi kwa anaye hitaji kupanga kinyerezi ni mahali pazuri pako juu hamna hofu ya mafuriko
karibuni sana
 
kinyerez mwsho? kona? msikitini? shule? gereji? saloon? mafuta ya taa? au wap
 
kinyerezi kituo cha zamani usawa wa nguzo kubwa za umeme mtaa wa kariakoo kanga karibu na ofisi ya serikali ya mtaa ya zamani karibu na kanisa la walokole maeneo hayo karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…