Dalali Alpha
Member
- Apr 20, 2021
- 89
- 60
Tuma picha vzrChumba na Sebule, Choo cha nje.
Mahali: Mbezibeach Kwakomba
Bei: Tshs 100,000 kwa Mwezi.
Ina: Fensi ns geti, Maji ya dawasa masaa 24, Parking ya Usafiri, Dakika nne kwa mguu hadi kituoni.
Maelezo Zaidi: 0716442950View attachment 1790389View attachment 1790390
Acha Utani Dalali Alpha
Jamaa anazingua huyuAcha Utani Dalali Alpha
Tuma picha kuanzia nje na muonekano kamili wa ndani....
Vyumba VipoChumba na Sebule, Choo cha nje.
Mahali: Mbezibeach Kwakomba
Bei: Tshs 100,000 kwa Mwezi.
Ina: Fensi ns geti, Maji ya dawasa masaa 24, Parking ya Usafiri, Dakika nne kwa mguu hadi kituoni.
Maelezo Zaidi: 0716442950View attachment 1790389View attachment 1790390
Mbona sehemu muhimu hujaonesha kama choo na bafu pamoja na ceiling board?
Ha ha haAcha Utani Dalali Alpha
Tuma picha kuanzia nje na muonekano kamili wa ndani....
Daaah, kweli 200k haina thamani tenaHii hapa, Chumba choo ndani, Sebule pamoja na jiko.
Bei Tshs 200,000 Kwa Mwezi
Piga: 0716442950View attachment 1790591View attachment 1790592View attachment 1790594View attachment 1790595
Hata kama si inabidi mpangaji mtarajiwa akione kilivyo maana uchelewi kukuta cha shimo wakati nchi iko uchumi wa katiKasema choo kiko nje.
Yeye anatuma tena picha zile zile jmnTuma picha vzr
Ndiyo nashangaa hapa.daaah, kweli 200k haina thamani tena
Ni kweli Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kiasi hiki mkuu?[emoji3]Hii hapa, Chumba choo ndani, Sebule pamoja na jiko.
Bei Tshs 200,000 Kwa Mwezi
Piga: 0716442950View attachment 1790591View attachment 1790592View attachment 1790594View attachment 1790595