SINGLE WINDOW
JF-Expert Member
- Sep 2, 2021
- 356
- 278
Chumba na sebure vinapangishwa kinyerezi kabla ya kufika kabisa la Roma stand ya zamani unaingia ndani kidogo karibu na msikiti wa kimbekete na karibu na transfoma ni karibu na kituo Cha magari kipo juu huvuki mabinde yenye maji huhitaji kupanda bodaboda uendapo kazini karibuni sana anayehitaji aje inbox
Bei kwa mwezi ni 70,000 chumba na sebure karibuni kwa maongezi pia Kodi ni miezi sita sita.
Bei kwa mwezi ni 70,000 chumba na sebure karibuni kwa maongezi pia Kodi ni miezi sita sita.