Chumba sebule inahitajika maeneo ya Tabata

Chumba sebule inahitajika maeneo ya Tabata

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Habarini wadau wa JF!

Naomba ushirikiano wenu kwa mtu ambae atakuwa anajua sehemu yenye one bedroom apartment yaani chumba, sebure choo ndani na stoo pia kiwe ndani fensi, eneo liwe karibu na barabara kuu na pia liwe linaingilika ata wakati wa mvua kubwa.

Itapendeza zaidi ikiwa maeneo ya kutoka Barakuda Tabata mpaka Tabata Bima ila haitokuwa mbaya sana pia ikiwa Kimanga.

Namba za mawasiliano 0622 901670
Whatsapp inapatikana pia.

TABATA.jpg
 
Back
Top Bottom