choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,563
Wadau za asubuh. Nahitaji chumba na sebule+jiko kigambon ambapo patakua pazur. Dau ni 120,000 lakini inaeza kuongezeka kulingana na ubora wa nyumba. Maji, umeme visikosekane. Pia napendelea maeneo yafuatayo;
Ferry
Mikadi
Magogoni
Kisiwani
Mwenye navyo tuwasiliane PM.
Natanguliza shukrani.
Ferry
Mikadi
Magogoni
Kisiwani
Mwenye navyo tuwasiliane PM.
Natanguliza shukrani.