House4Rent Chumba self au Chumba na sebule self maeneo ya Mwenge, Survey, Mawasiliano

House4Rent Chumba self au Chumba na sebule self maeneo ya Mwenge, Survey, Mawasiliano

Kapena

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
376
Reaction score
507
Leo tarehe 22/7/2017 nina shida hii hapa chini:
Natafuta chumba kikubwa kiwe self.
Au chumba na sebule self.
Au chumba na sebule visiwe self lakini wapangaji wasiwe wengi.
Maeneo hayo ya mwenge, lufungira, mpakani, survey, mawasiliano.
Kifupi ni maeneo jirani na UDSM maana ndiko kituo changu cha kazi.
Bajeti yangu 100 mpaka 130 kutegemea na Quality na location ya nyumba.
Nisaidieni wakuu wangu wazuri wazuri.
Nicheki Whatsapp 0788 688 392
 
Nisaidieni basi wakuu... Madalali hakuna humu??
 
Huna pesa ww tulia endelea kukaa huko huko kwa mtogole (mwenge chumba single tu 90000 labda tangi bovu na ni kuanzia 150000.....sasa ww 130000 subiri sana na mkono wako mfupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna pesa ww tulia endelea kukaa huko huko kwa mtogole (mwenge chumba single tu 90000 labda tangi bovu na ni kuanzia 150000.....sasa ww 130000 subiri sana na mkono wako mfupi

Naweza kupanda bei nikiridhiswha na quality na location ya nyumba yenyewe.
Nielekeze kama naweza pata dalali huko
 
Back
Top Bottom