Dodoma kuna Oysterbay?
Bila picha ni sawa tu na kutangaza habari ukimaliza watu wanabadilisha channeli
Wanaelewa Oysterbay maana yake nini hao waliopaita hivyo?Ipo Mkuu hapa Makulu kama unaenda University of Dodoma.
Mwanzo nilipokuja Dodoma, nilishangaa pia.
Wanaelewa Oysterbay maana yake nini hao waliopaita hivyo?