House4Rent Chumba self na sebule inapangishwa Mikocheni B

House4Rent Chumba self na sebule inapangishwa Mikocheni B

joyce francis

Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
15
Reaction score
2
Chumba self na sebule inapangishwa maeneo ya Mikocheni B jirani na shule ya Academic. Kodi 180,000/= kwa mwezi na malipo ni kuanzia miezi sita.

Mawasiliano: 0744218415

Mmiliki sio Dalali..
 

Attachments

  • IMG-20180123-WA0005.jpg
    IMG-20180123-WA0005.jpg
    40.6 KB · Views: 74
  • IMG-20180123-WA0006.jpg
    IMG-20180123-WA0006.jpg
    49.2 KB · Views: 76
  • IMG-20180123-WA0007.jpg
    IMG-20180123-WA0007.jpg
    35.2 KB · Views: 69
Location nzuri hiyo!vp sehemu ya kupaki gari ipo?luku vp mnashare Au inajitegemea!

Ova
 
Mkuu joyce francis,

Tangazo lako linakosa vigezo vya kuendelea kubaki hewani kwa sababu hujaambatanisha picha kama tulivyoelekeza katika muongozo wa kutangaza kupitia JF >> MUONGOZO: Zingatia haya unapoweka tangazo lako!
  1. Kama ni bidhaa elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
Ni vyema kuzingatia. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.

Tafadhali fanya hivyo ili tangazo lako lisiondolewe.

Asante.
 
yani chumba na sebule 180,000.....kweli dar watu mna maisha magumu mno mimi nakaa nyumba ina vyumba 6 vingine imebidi nifanye stoo
 
Mkuu, rekebisha tangazo lako kabla hujakamatwa. Kodi inalipwa kwa mwezi, kulingana na maelekezo ya Serikali. Tafadhali sana Mkuu!
ndio maana unazomewa kila unapoweka post. tangazo siyo sheria ni matamko ya kijinga not backed by any legal force
 
Back
Top Bottom