joyce francis
Member
- Aug 28, 2016
- 15
- 2
Ni vyema kuzingatia. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.
- Kama ni bidhaa elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
Kwani ishaanza kutumika?Mkuu, rekebisha tangazo lako kabla hujakamatwa. Kodi inalipwa kwa mwezi, kulingana na maelekezo ya Serikali. Tafadhali sana Mkuu!
Hayo maelezo wameyatolea wapiMkuu, rekebisha tangazo lako kabla hujakamatwa. Kodi inalipwa kwa mwezi, kulingana na maelekezo ya Serikali. Tafadhali sana Mkuu!
Joyce Francis wa ushindi? Au weye ni yupi?Chumba self na sebure inapangishwa maeneo ya mikocheni B jirani na shule ya academic ,kodi 180000 kwa mwezi na malipo ni kuanzia miezi sita.
0744218415
Mmiliki sio Dalali
Location hyo ndo inasababisha thamani ya nyumba kuwa juu mkuuyani chumba na sebule 180,000.....kweli dar watu mna maisha magumu mno mimi nakaa nyumba ina vyumba 6 vingine imebidi nifanye stoo
Ni Mimi huyo huyo Wa ushindiJoyce Francis wa ushindi? Au weye ni yupi?
Mkuu joyce francis,
Tangazo lako linakosa vigezo vya kuendelea kubaki hewani kwa sababu hujaambatanisha picha kama tulivyoelekeza katika muongozo wa kutangaza kupitia JF >> MUONGOZO: Zingatia haya unapoweka tangazo lako!
Tafadhali fanya hivyo ili tangazo lako lisiondolewe.
Asante.
ndio maana unazomewa kila unapoweka post. tangazo siyo sheria ni matamko ya kijinga not backed by any legal forceMkuu, rekebisha tangazo lako kabla hujakamatwa. Kodi inalipwa kwa mwezi, kulingana na maelekezo ya Serikali. Tafadhali sana Mkuu!