hili swali linafanana na swali je mfuko kilo 25 wa sukari na wa kilo25 wa chumvi upi mzito.
Madenge aliulizwa na mwalimu wa hesabu.
Akajibu sukari
Mwalimu akauliza kwanini
Madenge akajibu kwa vile tamu
Swali la kipimbi....
Itakuwa haina adhari kubwa za kiuchumi matumizi ya chumvi kwenye chakula ni madogo ya sukari ni makubwa
Kijiko kimoja cha chumvi kinakoleza chakula sufuria kubwa nzima ila sukari utaweka hata vijiko kumi