Chumvi kwenye wali

Chumvi kwenye wali

MLUGURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
2,929
Reaction score
3,710
Wakuu naombeni ushauri wenu hapa, nimezidisha chumvi kwenye wali nimepikia kwenye rice cooker nifanye nini ili uweze kulika vizuri??

Chumvi nayo kiungo ila ikizidi lol
 
MAMBO TISA UNAYOWEZA KUFANYA KATIKA CHAKULA CHAKO KAMA MAMBO YAMEENDA NDIVYO SIVYO

1.Chumvi ikizidi kwenye mchuzi menya kiazi mviringo weka kwenye chakula unachopika, acha ichemke chumvi itapungua sana

2. Ukiunguza wali kata kitunguu maji nusu weka kwenye wali Funika kwa dakika tano kinasaidia kutoa harufu ya moshi

3. Tui lisipokolea kwenye maharage weka unga wa sembe tikisa acha itokote hata kama nazi ni nusu itakua kama umeweka nazi tatu

4. Maharage ukitaka yaive upesi weka kijiko cha baking powder

5. Mchuzi wa maini ukitaka uwe rost nzito au mchuzi wowote na hauna nyanya za kutosha weka kijiko kimoja cha chakula unga wa ngano ukoroge na maji kidogo then weka kwa mchuzi wacha uchemke dk 5

6. Muhogo ukiwa chelema weka making powder kijiko kimoja

7. Nyama ikiwa ngumu au ukitaka ilainike upesi kwangulia papaio bichi

8. wali ukishika, ukiungua, kabla ya kufunikia, waweza pia tumia margarine au blue band, ukipakua harufu ya kuungua haitokuwepo tena

9.carrot iwe fresh kama imesinyaa kwa fridge weka kwenye maji ya barridi nusu saa itakua kama imetoka shamba…… MWANAMKE JIKOOO

USIWE MCHOYO WA MAARIFA WATUMIE NA WENZAKO
 
Hakika ww hujiiiii kuoa kwa mfumo huuu na wanawake umewazid
 
Unamkeee ww Basi anakula raha sana lakin. Chode chonde usije ukawa unamkosoa hata kma unajua utaharibu radha mzeee mkubwaaa bubuji
 
MAMBO TISA UNAYOWEZA KUFANYA KATIKA CHAKULA CHAKO KAMA MAMBO YAMEENDA NDIVYO SIVYO

1.Chumvi ikizidi kwenye mchuzi menya kiazi mviringo weka kwenye chakula unachopika, acha ichemke chumvi itapungua sana

2. Ukiunguza wali kata kitunguu maji nusu weka kwenye wali Funika kwa dakika tano kinasaidia kutoa harufu ya moshi

3. Tui lisipokolea kwenye maharage weka unga wa sembe tikisa acha itokote hata kama nazi ni nusu itakua kama umeweka nazi tatu

4. Maharage ukitaka yaive upesi weka kijiko cha baking powder

5. Mchuzi wa maini ukitaka uwe rost nzito au mchuzi wowote na hauna nyanya za kutosha weka kijiko kimoja cha chakula unga wa ngano ukoroge na maji kidogo then weka kwa mchuzi wacha uchemke dk 5

6. Muhogo ukiwa chelema weka making powder kijiko kimoja

7. Nyama ikiwa ngumu au ukitaka ilainike upesi kwangulia papaio bichi

8. wali ukishika, ukiungua, kabla ya kufunikia, waweza pia tumia margarine au blue band, ukipakua harufu ya kuungua haitokuwepo tena

9.carrot iwe fresh kama imesinyaa kwa fridge weka kwenye maji ya barridi nusu saa itakua kama imetoka shamba…… MWANAMKE JIKOOO

USIWE MCHOYO WA MAARIFA WATUMIE NA WENZAKO
Mkuu Bujibuji hiyo mechanism ya kiazi mviringo naona inafaa kwenye mboga au chakula cha mchuzi,sasa huu wali ushakuwa mkavu nafanyaje hapo na nimepikia kwenye rice cooker??
 
Fata maelezo ya bujibuji chumvi itapungua wali wako utakua bomba.
 
Back
Top Bottom