Menya kiazi mviringo, kidumbukize kizima, kitafyonza chumvi iliyozidiWakuu naombeni ushauri wenu hapa, nimezidisha chumvi kwenye wali nimepikia kwenye rice cooker nifanye nini ili uweze kulika vizuri??
Chumvi nayo kiungo ila ikizidi lol
MAMBO TISA UNAYOWEZA KUFANYA KATIKA CHAKULA CHAKO KAMA MAMBO YAMEENDA NDIVYO SIVYOWakuu naombeni ushauri wenu hapa, nimezidisha chumvi kwenye wali nimepikia kwenye rice cooker nifanye nini ili uweze kulika vizuri??
Chumvi nayo kiungo ila ikizidi lol
Hakika ww hujiiiii kuoa kwa mfumo huuu na wanawake umewazidMAMBO TISA UNAYOWEZA KUFANYA KATIKA CHAKULA CHAKO KAMA MAMBO YAMEENDA NDIVYO SIVYO
1.Chumvi ikizidi kwenye mchuzi menya kiazi mviringo weka kwenye chakula unachopika, acha ichemke chumvi itapungua sana
2. Ukiunguza wali kata kitunguu maji nusu weka kwenye wali Funika kwa dakika tano kinasaidia kutoa harufu ya moshi
3. Tui lisipokolea kwenye maharage weka unga wa sembe tikisa acha itokote hata kama nazi ni nusu itakua kama umeweka nazi tatu
4. Maharage ukitaka yaive upesi weka kijiko cha baking powder
5. Mchuzi wa maini ukitaka uwe rost nzito au mchuzi wowote na hauna nyanya za kutosha weka kijiko kimoja cha chakula unga wa ngano ukoroge na maji kidogo then weka kwa mchuzi wacha uchemke dk 5
6. Muhogo ukiwa chelema weka making powder kijiko kimoja
7. Nyama ikiwa ngumu au ukitaka ilainike upesi kwangulia papaio bichi
8. wali ukishika, ukiungua, kabla ya kufunikia, waweza pia tumia margarine au blue band, ukipakua harufu ya kuungua haitokuwepo tena
9.carrot iwe fresh kama imesinyaa kwa fridge weka kwenye maji ya barridi nusu saa itakua kama imetoka shamba…… MWANAMKE JIKOOO
USIWE MCHOYO WA MAARIFA WATUMIE NA WENZAKO
Unamjua au unamsikia tu uncle Bujibuji a.k.a Uncle Stan?Hakika ww huko kuoa kwa mfumo huuu na wanawake umewazid
Hakika ww hujiiiii kuoa kwa mfumo huuu na wanawake umewazid
Msome hapa. Mimi ndiye Bujibuji, boyfriend, mchumba, mume na baba mwenye nyumba | JamiiForumsNdio namjulia humu jamii forum sijui meng zaid ya member wa jamii forum
Unamkeee ww Basi anakula raha sana lakin. Chode chonde usije ukawa unamkosoa hata kma unajua utaharibu radha mzeee mkubwaaa bubujiMimi ndiye Bujibuji, boyfriend, mchumba, mume na baba mwenye nyumba
http://yt2converter.com/yt-dd.php?id=vM26E9qHE2I&hash=f7bac3ae706f8dd921ed44d2f3253aa7&t=692&name=All-4-One%20-%20These%20Arms Mimi kuna siku nakuwa boyfriend, siku nyingine mchumba, siku nyingine mume na wakati mwingine nakuwa baba mwenye nyumba. Siku nikiwa boyfriend, namtoa bibie out just...www.jamiiforums.com
WANAWAKE wababe sana ndo maana tuliambiwa tuishi nao kwa akili💪Unamkeee ww Basi anakula raha sana lakin. Chode chonde usije ukawa unamkosoa hata kma unajua utaharibu radha mzeee mkubwaaa bubuji
KumbeWANAWAKE wababe sana ndo maana tuliambiwa tuishi nao kwa akili💪
Mkuu Bujibuji hiyo mechanism ya kiazi mviringo naona inafaa kwenye mboga au chakula cha mchuzi,sasa huu wali ushakuwa mkavu nafanyaje hapo na nimepikia kwenye rice cooker??MAMBO TISA UNAYOWEZA KUFANYA KATIKA CHAKULA CHAKO KAMA MAMBO YAMEENDA NDIVYO SIVYO
1.Chumvi ikizidi kwenye mchuzi menya kiazi mviringo weka kwenye chakula unachopika, acha ichemke chumvi itapungua sana
2. Ukiunguza wali kata kitunguu maji nusu weka kwenye wali Funika kwa dakika tano kinasaidia kutoa harufu ya moshi
3. Tui lisipokolea kwenye maharage weka unga wa sembe tikisa acha itokote hata kama nazi ni nusu itakua kama umeweka nazi tatu
4. Maharage ukitaka yaive upesi weka kijiko cha baking powder
5. Mchuzi wa maini ukitaka uwe rost nzito au mchuzi wowote na hauna nyanya za kutosha weka kijiko kimoja cha chakula unga wa ngano ukoroge na maji kidogo then weka kwa mchuzi wacha uchemke dk 5
6. Muhogo ukiwa chelema weka making powder kijiko kimoja
7. Nyama ikiwa ngumu au ukitaka ilainike upesi kwangulia papaio bichi
8. wali ukishika, ukiungua, kabla ya kufunikia, waweza pia tumia margarine au blue band, ukipakua harufu ya kuungua haitokuwepo tena
9.carrot iwe fresh kama imesinyaa kwa fridge weka kwenye maji ya barridi nusu saa itakua kama imetoka shamba…… MWANAMKE JIKOOO
USIWE MCHOYO WA MAARIFA WATUMIE NA WENZAKO
Weka, Mimi nakwambia na kukuthibishia it's worksMkuu Bujibuji hiyo mechanism ya kiazi mviringo naona inafaa kwenye mboga au chakula cha mchuzi,sasa huu wali ushakuwa mkavu nafanyaje hapo na nimepikia kwenye rice cooker??
[emoji23][emoji23]Chuja huo wali.
Fata maelezo ya bujibuji chumvi itapungua wali wako utakua bomba.Mkuu Bujibuji hiyo mechanism ya kiazi mviringo naona inafaa kwenye mboga au chakula cha mchuzi,sasa huu wali ushakuwa mkavu nafanyaje hapo na nimepikia kwenye rice cooker??
Unajua kitu kinaitwa mchujo?
Fata maelezo ya bujibuji chumvi itapungua wali wako utakua bomba.
Hapana viazi mviringo sio viazi vitamuKiazi kitamuuu[emoji2960][emoji2960][emoji2960]