hata chumvi tunapoiita "inelastic" ni hiyo basi tu lakini unapoongeza ulaji wa nyamachoma wakati wa sherehe za x-mass, Eid, harusi na matamasha mbalimbali na ulaji wa chumvi pia unaongezeka linearly (proportionally). Hivyo kama nyamachoma ni elastic na chumvi pia, maana nyamachoma bila chumvi haiwezekani. Unywaji wa bia, ulaji wa nyama na ulaji wa chumvi vinaenda sambamba.Nguvu zile za matangazo zilipaswa kuwekezwa kwenye brand mpya ya bia inapoingia sokoni... sio chumvi ya 500 inatumika wiki mbili na familia ya watu 8
Hata wakati wa sikukuu chumvi inalika sana. wakati wa sikuu watu wanakunywa bia sana na nyamachoma. Unapoagiza nyamachoma au supu mhudumu LAZIMA atakuletea pamoja na chumvi, pilipili na limau haka kama hujamuagiza chumvi. Hivyo chumvi nayo itaongezeka matumizi sambamba na bia na nyama. Ndiyo maana nasema tuachane na mambo ya vitabuni tulikojifunza tuje kwenye uhalisia......kaka hizi ni fani za watu, na naogelea katika fani.
Kifupi huwezi kuiweka Coca Cola kundi moja na chumvi. Coca Cola ni FMCG na ina elastic demand (ndio maana siku za jua kali na siku kuu soda zinauzika sana) pamoja na kuwa na effect ya bei ( jero jero/ pepsi bigi campaign)
Chumvi haiongezeki mauzo wakati wa siku kuu wala kiangazi.
Strategy ya chumvi ni kujali quality na perfomance na distribution baass !
Jamaa katumia pesa vibaya sana kwa marketing.
We jamaa hujui kitu ila unaandiiika !hata chumvi tunapoiita "inelastic" ni hiyo basi tu lakini unapoongeza ulaji wa nyamachama wakati wa sherehe za x-mass, Eid, harusi na matamasha mbalimbali na ulaji wa chumvi pia unaongezeka linearly (proportionally). Hivyo kama nyamachoma ni elastic na chumvi pia, maana nyamachoma bila chumvi haiwezekani. Unywaji wa bia, ulaji wa nyama na ulaji wa chumvi vinaenda sambamba.
Haaa...haaa....haaa !Hata wakati wa sikukuu chumvi inalika sana. wakati wa sikuu watu wanakunywa bia sana na nyamachoma. Unapoagiza nyamachoma au supu mhudumu LAZIMA atakuletea pamoja na chumvi, pilipili na limau haka kama hujamuagiza chumvi. Hivyo chumvi nayo itaongezeka matumizi sambamba na bia na nyama. Ndiyo maana nasema tuachane na mambo ya vitabuni tulikojifunza tuje kwenye uhalisia.
Kama mlaji nihaki yakeUkishamjua mhusika wa hiyo kampuni itakusaidia nini mkuu.
Sio kwa chumvi ya Neel !mtaani kwetu kila duka unaloingia zipo chumvi za neel tu, wazalishaji wengine wa chumvi wajipange wanaweza kupotezwa sokoni.
uko vizuri sana...nimekulewa aiseee"""...kila mfanyabiashara anatamani bidhaa yake itumiwe na kila mtu duniani kama ikibidi,
lastic = hii ni lugha ya uchumi na masoko ambayo kwa maneno yasiyo rasmi ni kunyumbulika, kuvutikana kama mpira wa manati, kuongezeka urefu au ujazo, wingi, utumiaji wa bidhaa sokoni. Inelastic ni kinyume lastic, maana yake isiyonyumbulika wala kubadilika wala kuongezeka urefu, ujazo, ukubwa, wingi, uhitaji, n.k. Mfano, kama bei ya sukari ikipunguzwa bei (price) watu wengi zaidi wanaweza kununua sukari zaidi na kunywa chai, na kama bei ya bia ikiongezwa zaidi juu wateja wa bia wanaweza kupungua sana, hivyo bidhaa zote zenye tabia kama hiyo ya kunyumbulika/kubadilikabalika uhitaji wake kwenye soko kutokana na bei na matangazo zinaitwa "elastic goods". Lakini chumvi haina tabia hiyo kwakuwa mahitaji na uhitaji wa chumvi upo tu palepale hata kama bei ya chumvi itapunguzwa au kuongezwa, itatangwa au haitatangazwa, ndiyo maana wataalamu wetu humu ndani wameiweka chumvi kwenye kundi la bidhaa ambazo "inelastic" kwakuwa bei au matangazo hayawezi kuathiri matumizi wala ununuzi wa chumvi madukani.
Anachofanya mmiliki wa neel salt ni kutangaza tena na tena na tena brand yake ya Neel salt kwenye masikio na macho ya watumiaji wa chumvi ili kila mtu anapokwenda sokoni asiseme naomba chumvi badala yake asememe naomba neel sawa na wale wanaoita OMO sabuni zote za unga, au Kiwi dawa zote za viatu, au panadol dawa zote za maumivu kwa kuwa wao walizitangaza na kuzisambaza saaaana bidhaa zao hizo kwanjia tofautitofauti.
Nadhani mkuu nimesaidia kidogo japo mimi hili sio chimbo langu kabisaa.
hakuna mtu asiye tumia chumvi..labda awe àmekatazwa na daktari "" lakini kunawatu wasio kunywa bia"" Jamaa target yake ni nzuri tu "" soon ataanza kupiga pesa ile mbaya"" mnapnda kukosoa vitu wkati wngine hata biashara za mtaji wa ml.10 Hanna..wabongo sijui mkoje ""!?Nguvu zile za matangazo zilipaswa kuwekezwa kwenye brand mpya ya bia inapoingia sokoni... sio chumvi ya 500 inatumika wiki mbili na familia ya watu 8
.....on marketing professional perspective ! Nothing personal.hakuna mtu asiye tumia chumvi..labda awe àmekatazwa na daktari "" lakini kunawatu wasio kunywa bia"" Jamaa target yake ni nzuri tu "" soon ataanza kupiga pesa ile mbaya"" mnapnda kukosoa vitu wkati wngine hata biashara za mtaji wa ml.10 Hanna..wabongo sijui mkoje ""!?
.....ni shida sana kama hujui halafu unajifanya unajua, bora ungekuwa hujui na ukajijua hujui !Umekariri
Ndio maana watu wenye akili pana kama sisi tuna uwezo wa ku analyze and ku critique theories, principles, na assumptions zilizoonekana kuwa sahihi huko nyuma. Mtu kama wewe sio rahisi kufikiria nje ya box. Concept inaweza kuwa sahihi leo na kuwa wrong kesho.Haaa...haaa....haaa !
Assumption za kitooto !
Unadharau andko ?
Kwenye maandiko ya kina Kotler (Marketing) na Tom Hopkin (Mastering Art of Selling) kuna vitu vinaitwa 'case study' unaijua product yeyote ya inelastic iliyobadilika kuwa elastic !?