Aliyemjengea mstaafu msogahii ni mali ya Mfanyabiashara wa muda mrefu sana katika Ardhi ya Tanzania, anamiliki hotels, metal factory, vinywaji na biashara nyingine nyingi, sasa ana neelcanth cable, anaitwa Subash Patel
Point taken,
Definitely that will encourage industrialization.
However, am still shocked by that marketing budget.
Wamekushika mikono usiushikilie?Siwapend wahindi hawa coz wanashikilia uchumi wa tz
Kama vile kiberiti ni nadra kwenda dukani ukaulizia ni cha kampuni gani kabla hujanunua walau majani ya chai kidogo ndio watu wanauliziaSidhani kama umenielewa nilichokiandika japo umenijibu vizuri.
Sijasema nafakamia bidhaa. Kwa hapa kwetu ikija kwenye chumvi, wengi wakifika dukani wanasema tu nipatie chumvi, hawataji jina au kampuni maalum iliyoitengeneza.
Nilichokisema ni kuvutiwa na jinsi alivyoamua kuitangaza hii bidhaa, amewekeza kiasi kwamba ukiwaza chumvi, inakuja neel salt kichwani.
Wewe unamfahamu mmiliki na mtengenezaji wa hiyo chumvi?