Chunga kifaa unachotumia kunywea maji

Chunga kifaa unachotumia kunywea maji

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
images (13).jpeg


1. Ukinywa maji tafadhari yamalize hayo maji! ukishindwa kuyamaliza yamwage.

2. Watu wanaweza kuvuruga mipango yako kwa kutumia maji uliyobakiza kwa chupaa au kifaa ambacho umekitumia.

3. Najua wengi wanaweza kusema ni imani but uchawi upo so tahadhari ni muhimu sana kama mitume walilogwa we nani usilogwe?

4. Haya yangu ni hayo tu kwa leo.

Naitwa Hemedyjrjunior |hizzybe
 
Naona umekuja na nyuzi nyingi za chapchap. Utachoka tu hata kukomenti utakuwa unapita kimyakimya. Ukiamini sana ushirikina kulogeka ni rahisi
 
Back
Top Bottom