Hemedy Jr Junior JF-Expert Member Joined Feb 17, 2023 Posts 915 Reaction score 1,082 Feb 21, 2023 #1 1. Ukinywa maji tafadhari yamalize hayo maji! ukishindwa kuyamaliza yamwage. 2. Watu wanaweza kuvuruga mipango yako kwa kutumia maji uliyobakiza kwa chupaa au kifaa ambacho umekitumia. 3. Najua wengi wanaweza kusema ni imani but uchawi upo so tahadhari ni muhimu sana kama mitume walilogwa we nani usilogwe? 4. Haya yangu ni hayo tu kwa leo. Naitwa Hemedyjrjunior |hizzybe
1. Ukinywa maji tafadhari yamalize hayo maji! ukishindwa kuyamaliza yamwage. 2. Watu wanaweza kuvuruga mipango yako kwa kutumia maji uliyobakiza kwa chupaa au kifaa ambacho umekitumia. 3. Najua wengi wanaweza kusema ni imani but uchawi upo so tahadhari ni muhimu sana kama mitume walilogwa we nani usilogwe? 4. Haya yangu ni hayo tu kwa leo. Naitwa Hemedyjrjunior |hizzybe
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Feb 21, 2023 #2 Naona umekuja na nyuzi nyingi za chapchap. Utachoka tu hata kukomenti utakuwa unapita kimyakimya. Ukiamini sana ushirikina kulogeka ni rahisi
Naona umekuja na nyuzi nyingi za chapchap. Utachoka tu hata kukomenti utakuwa unapita kimyakimya. Ukiamini sana ushirikina kulogeka ni rahisi
Hemedy Jr Junior JF-Expert Member Joined Feb 17, 2023 Posts 915 Reaction score 1,082 Feb 21, 2023 Thread starter #3 LOTH HEMA said: Naona umekuja na nyuzi nyingi za chapchap. Utachoka tu hata kukomenti utakuwa unapita kimyakimya. Ukiamini sana ushirikina kulogeka ni rahisi Click to expand... Sijakuelewa ndugu
LOTH HEMA said: Naona umekuja na nyuzi nyingi za chapchap. Utachoka tu hata kukomenti utakuwa unapita kimyakimya. Ukiamini sana ushirikina kulogeka ni rahisi Click to expand... Sijakuelewa ndugu
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Feb 22, 2023 #4 Hemedy jr Junior said: Sijakuelewa ndugu Click to expand... nakuona una spidi kali ya kuleta nyuzi mfulululizo, inaonekana we ni mgeni, hapa si fb, humu ni wenye akili kubwa, leta mada kwenye majukwa mbalimbali, vinginevyo utakula ban kwa muda au ban ya kudumu utaonekana ni mlevi fulani hivi.
Hemedy jr Junior said: Sijakuelewa ndugu Click to expand... nakuona una spidi kali ya kuleta nyuzi mfulululizo, inaonekana we ni mgeni, hapa si fb, humu ni wenye akili kubwa, leta mada kwenye majukwa mbalimbali, vinginevyo utakula ban kwa muda au ban ya kudumu utaonekana ni mlevi fulani hivi.