Chunguza wanaorudia mitihani k4 au k6

Mpigaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
384
Reaction score
42
Wadau hii imekaaje?Idadi kubwa ya Private candidates kwa wanaorudia mitihani kidato cha 4 au 6 huwa ni wasichana!KWA NINI?
 
We ni mwongo na unataka kumaanisha wao ndo wanafeli tu, jambo ambalo siyo sahihi
 
Wanapenda elimu. Wavulani si wanakimbilia hata kuosha magari?
 
Umejuaje,au na we ni mmoja wa wanao rudia hyo mitihan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…