salama salimini! namshukuru MUUMBA JUU! pole kwa yaliyokupata, ni upepo tu unavuma na utapita! lolMpaka mwili umezizima kwa baridi ya hudhurungi........!! So umeamka salama..uko poa..waonaje hali yako
we badala ya kumuogopa Young_Master, unawaogopa hao? lol! haya kazi kwako!
Angalia usije kupata stress CHICHAT kama jukwaa la siasa..utakosa pa kwenda..maana hata jukwaa la Elimu limeingiliwa!!
Haya The secretary changamkia dolari za Pasco wa JF ......Najua utasema unazo..lakini si unaongezea tu
According to my source ni kwamba Bishanga keshabeba mzigo
Dah.. mtoto wa Kikorea huyo a.k.a Katibu muhtasi
karibu sana!Baridi yenyewe imesababishwa na maneno yako matamu..asante!!
Chungwa nikalimega nikadhani chenza
Kumbe limeshamegwa tayari na waume wenza
Heri chungwa angeweka limao ili lifanane na chenza
Kwani ungeniambia ni chungwa unafikiri ningekuacha?
Mbona wengi wameolewa na chungwa na ndoa zinadumu?
Na wale wenye waliokuwa na chenza wamepoteza ndoa zao....
Ni kweli niliamini kwamba ni chenza
Kwa sababu wewe mwenyewe ulinieleza
Kumbe una chungwa tena dalanzi la Muheza
Ila huna haja ya kunikimbia ukiniona
kwangu mimi chenza na chungwa navyoona
Ladha ni ileile ukilitunza