Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Then Black African Soap itakufaa, ukitumia vizuri within one week utaona mabadiliko
Yaan unafanya vitu kama freemason acha sheria ngumu wengine hata ku pm wala ku am hatuwez tunaomba namba[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naomba msaada kama mtu anajua dawa ya kuondoa vidoa doa vyeusi vilivyoachwa baada ya kutumbua chunusi anisaidie nakosaa amani na uso wangu.
Kila siku tunasema acheni mkorogo na cream kutafuta weupe. Hilo unalo. NA BADO
 
Changanya limau na asali paka kwa mda wa siku 30 utakuwa po
 
Mimi niliteseka zaidi ya miaka saba ila nimepata lotion anaitwa MARICHA itafute hutojuta

Post sent using JamiiForums mobile app
 
rubii,
Epidem inachagua ngozi mi nilikua nakua mweupe lkn kila Leo madoa yanang'aa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hebu nenda kwanza kwa daktar wa ngozi..utibiwe kwa uhakika hizo chunusi..unaeza ukakuta una tatizo ndani ya damu.so ukipaka hayo macream unakua unayapooza tu na badae yanarudi tena,pole sana.
 
Ndugu uko na uso wenye mafuta using'ang'anie lotion tymia sabuni pia nzuri mno unaweza tumia lotion kumbe sabuni ndo inakuangusha hailandani na lotion unayoitumia so anze kwa hii tumia sabuni ya DOVE hukausha kabisa ngozi na unatakata ndugu yangu...!!

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…