Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Mkuu, heshima yako.
Kuna family za mche na hizi zinazokuwa kwenye pakti.
Sijajua unazomaanisha.

Msaada.
 
Mkuu, heshima yako.
Kuna family za mche na hizi zinazokuwa kwenye pakti.
Sijajua unazomaanisha.

Msaada.

Za kwenye ' pakiti ' Mkuu zina rangi Nyeusi halafu ' Kasha ' lake ni la ' Zambarau ' hivi. Zipo sana Madukani Mkuu huku Uswazinyo Kwetu na hata huko Uzungunyo Kwenu. Kama ukiikosa hiyo basi tafuta haraka hiyo Sabuni ya CITRUS yenye Kasha la Njano na yenyewe pia ikiwa ni ya Njano zote zinasaidia mno tu.

Kila la kheri Mkuu.
 
Asante sana
 
Daah nakumbuka mbali saana chunusi , ZOA ZOA grace sabuni na lotion iko poa pia
 
Me naamini siku zikiisha ni pale ukitambua njia sahihi ya kutibu ngozi yako , ila lazima zikusumbue maana uyu ata sema tumia bio oil huyu hiki ikiwa ngozi yako haendani na icho kitu ,so usiogope kujarbu utapata matokeo , mm maji ya moto yalitosha kumaliza zote.
 
Na niliwaokoteni sana tu na nina uhakika hadi Wewe vile vile. Chezea GENTAMYCINE Weye!
nikweli,lakini mimi kama mimi nilikua naamn sana thread zako humu,bt baada ya ule utabiri mbovu,bila shaka nilipoteza iman nawe na sipo attracted sana na thread zako as was b4,sio mimi tuu,maana ulijiamnisha sana na ukaangukia puaa.POLe
 
Tangazo la biashara
 
me ninazo zinanisumbua kweli na before nilikuwaga soft kuna nyau mmoja kaniambia eti nitakuwa cjafanya mapenzi muda mrefu embu nishaurini nifanyeje
Mimi pia nilizipata mwaka huu toka mwezi wa kwanza, zilinikosesha amani kabisa nimebadili sana mafuta, rotion, sabuni lakini wapi.
Nikaamua kutumia limao na sabuni ya Asantee ya ukwaju. Nanawa USO Kwa sabuni hiyo kisha nachukua limao nakata vipande viwili naanza kusugua usoni, lilikuwa nafanya hivyo Mara mbili Kwa siku na chunusi zikakauka.
Sasa yamebaki mabaka lakini pia yanapungua. Siku hizi nasugua limao Mara moja hadi mbili Kwa wiki na USO upo soft.
Ila ninachangamoto ya mafuta gani nitumie nisipate chunusi sitaki lotion kwani asilimia kubwa ya lotion nikipaka usoni naumwa sana macho.
Asante
 
Citrus ya njano ni kweli. Ila mie nina mzio na harufu yake.
 
nzur hyo,vp ushawah tumia asali au magadi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…