Chunusi na vipele vinanisumbua .

Chunusi na vipele vinanisumbua .

Sela Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,120
Reaction score
7,317
Hellow wanajf.
Mimi ni Mzee wa miaka 29 Sasa. Jinsia ni Me. Nimekuwa nikisumbuliwa na chunusi usoni Kwa miaka nenda Rudi. Nimechoka nataka kuwa ka wenzangu Uso safi. Nakosa kujiamini ninapotaka kuwatokea mabibi zenu sometime.
So nataka mafuta ya kuondoa hali hii ambavyo si ya kuchubua na kuwa white.
Ushauri wenu mwema nitauzingatia.
Nb.
Msianze kunambia tafuta demu Nina bibi zenu wawili huwa wananisaidia kupunguza uchovu wa mwili.
Nawasilisha
 
Nunua dawa inayoitwa Benzoyl Peroxide gel 2.5% paka usoni kila siku unapoenda kulala baada ya kusafisha uso vizuri na sabuni ambayo sio medicated soap
 
Aliye kwambia wanawake wa siku hizi wanakata uso mlaini ni nani ?
Wao wanataka salite nangai tu mambo ya sura laini peleka saloon.

Sema mavipele huwa yanakera sana.
 
Hellow wanajf.
Mimi ni Mzee wa miaka 29 Sasa. Jinsia ni Me. Nimekuwa nikisumbuliwa na chunusi usoni Kwa miaka nenda Rudi. Nimechoka nataka kuwa ka wenzangu Uso safi. Nakosa kujiamini ninapotaka kuwatokea mabibi zenu sometime.
So nataka mafuta ya kuondoa hali hii si ya kuchubua na kuwa white.
Ushauri wenu mwema nitauzingatia.
Nb.
Msianze kunambia tafuta demu Nina bibi zenu wawili huwa wananisaidia uchovu wa mwili.
Nawasilisha
Kwa sababu ni kwa ajili ya kutokea mabinti, basi sahau kupona.
Ingekuwa ni kwa ajili ya afya yako ungesaidiwa.
.Kwa sasa endelea navyo ili usiharibu mabinti za watu.
 
Wakati wakulala unatumia chandarua(NET) mbu pia zinachangia ongezeko la chunusi usoni kama unangozi ya mafuta, omba Mungu atakuponya, nami nakuombea upone haraka hili tatzo la ngozi.....Mimi pia nilikua muhanga wa chunusi nimetumia vitu vingi sana (ikiwepo ule mkojo wa asubuhi ndio nikawa na nawia usoni walinambia ile chumvi chumvi ni dawa) ila mpk sasa sijui kipi kiliniondolea tatzo
 
Pdx Acne Vulgaris
Rx
1. Salicylic acid
2. Isotretinoin 20 mg
3. Add clindamycin kama kuna evidence ya bacterial infection mfano USAA(pus)

NB: Utanishukuru baadae
 
Back
Top Bottom