Elections 2010 Chunya kumekucha wachakachuaji wawekwa lupango

mwalimumpole

Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
48
Reaction score
0
WASIMAMIZI WATATU WA UCHAGUZI CHUNYA WAMEWEKWA NDANI KWA TUHUMA ZA UCHAKACHUAJI, HABARI KAMILI ZINAMTAJA AFISA ELIMU KILIMO BWANA MBULULE NA AFISA UKAGUZI NA MHUSIKA MWINGINE AMBAYE HAJAFAHAMIKA JINA WAMEWEKWA NDANI TOKA JANA JIONI KWA TUHUMA ZA UCHAGUZI. INASADIKIWA MATOKEO YALIYOKUWA YANAPIKWA NA YALE YANAYOTOKA MAENEO AMBAYO MPINZANI WA CCM NDUNGU SUNDAY SANGA ANAKUBALIKA ZAIDI. HATIMA YA MATOKEO YA CHUNYA HAIJULIKANI.:israel:
 
Wamewekwa ndani na Polisi ya CCM au wana buy time wajitangazie ushindi!!:nono:
 
Na itungwe sheria dhidi ya uchakachuaji. Prof. Baregu ,Lisu na sisi wote tushinkize sheria ya uchaguzi dhidi ya wizi wa kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…