Tarehe 22 Februari 2023 Mbunge wa Jimbo la Lupa, Mhe. Masache Kasaka Mbunge wa Lupa akiongozana na wajumbe wa Mfuko wa Jimbo wameendelea na ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo Wilaya ya Chunya. Amekagua;
1. Ujenzi Barabara,
2. Kituo Afya Ifumbo,
3. Sekondari Isenyela na
4. Hosteli ya Itewe Sekondari.
Mhe. Kasaka (Mb) Amemshkuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha kwenye Miradi hiyo.