Elections 2010 Chunya yaenda CCM pamoja na wasimamizi kuwekwa ndani

mwalimumpole

Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
48
Reaction score
0
JIMBO LA LUPA CHUNYA LIMECHUKULIWA NA CCM, NA WALE MAAFISA WA UCHAGUZI WALIOTUHUMIWA KWA UCHAKACHUAJI NA KUSHIKILIWA NA DOLA WAMEACHIWA BILA MAELEZO YA MAANA 😛eep:
 
Kwa amri ya Mkuu wa ufisadi ilinidi waachiwe Kikwete anatufaribia nchi yetu na ufisadi wake
 
Kwa kuwa kosa ni la CCM ambao wako above the law
 
Mwenye uchungu na nchi yake akawafungulie mashtaka akiwa na ushahidi na sio kulalama hapa kama zuzu!
 
Mwenye uchungu na nchi yake akawafungulie mashtaka mahakamani akiwa na ushahidi na sio kulalama hapa kama zuzu!
 
We pimbi kweli uliona.toka lini kesi ya nyani kula mahindi hakimu tumbili binadamu akashinda ndio maana namkumbuka sana mtikila anavyodai katiba mpya na mkikubali tu kutoa katiba mpya mmekwishaaaaaaaaaa
 
Mwenye uchungu na nchi yake akawafungulie mashtaka mahakamani akiwa na ushahidi na sio kulalama hapa kama zuzu!

UNAYEJIITA CCM KAPIMWE AKILI MAANA UNAONGEA PUMBA TU HAPA. HILI NI JUKWAA LA WELEVU HUKUSTALI KUWEPO HUMU 😛eep:
 
Hivi kutukana ndio werevu. Kukuonesha kuwa nimekuzidi werevu hutasikia tusi lolote toka kwangu MARIA, CHALLENGER NA MWALIMU. Ni mara ngapi katika historia hii hii ya vyama vingi watu wameenda mahakamani na wakapata haki? Tumieni takwimu na sio matusi. Je, si dokta Slaa anayesema kila siku mahakama ilithibitisha aliibiwa kura 5,000? Hiyo ilikuwa mahakama ya tumbili?

Jengeni hoja, si vioja
 
Mwenye uchungu na nchi yake akawafungulie mashtaka akiwa na ushahidi na sio kulalama hapa kama zuzu!

The inbreeding is certainly obvious in your family.
 
Mwenye uchungu na nchi yake akawafungulie mashtaka akiwa na ushahidi na sio kulalama hapa kama zuzu!

Kwani wewe umejiunga na JF kwa ajili ya nini? Hivi huo si mchango wa member? Ulitakiwa kuonyesha kwa ushahidi namna gani huyu ni 'zuzu'. Wewe una uchungu na Tanzania au ni Msomali?
 
Alisema 3,000 na sio 5,000!
 
Hivi 'zuzu' sio tusi?
 
mwenye uchungu na nchi yake akawafungulie mashtaka mahakamani akiwa na ushahidi na sio kulalama hapa kama zuzu!

kwahiyo wewe so called ccm umejenga hoja hapo au?
 
Originally Posted by CCM

Mwenye uchungu na nchi yake akawafungulie mashtaka akiwa na ushahidi na sio kulalama hapa kama zuzu!

sasa naona tunaanza kutafunan wenyewe kwani msomali sio mtu, rage yupo bungeni sas ngaja alshabaab wainge kudadadeki
 
Mwenye uchungu na nchi yake akawafungulie mashtaka akiwa na ushahidi na sio kulalama hapa kama zuzu!

Mahakamani kwa wale majaji yeboyebo waliochaguliwa na anayelalamikiwa?
 
Hii forums naona imevamiwa sasa maana thread nyingine hazina kichwa wala mkia na wala haziihusiani na uchaguzi lakini unazikuta huku. Please Mod ebu jaribu kutoa vitu visivyo husika. Maana tunajaza mapage kwa vitu visivyo vya msingi.
 
Una akili ka Zubeda!!!
 
msameheni huyo jamani nadhan yuko kwenye siku zake za mwezi huyu mwanamke. siunajuwa wanawake wa ccm wakiwa kwe hedhi kwa kuongea utumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…