Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,083
Mbaya zaidi msimu wa korosho kunakuwa na makato ya pembejeo ambayo unakatwa.Nunua mzee
Sawa, hapo nimekuelewa. Maana yake ni huduma ushailipa kama makato msimu jana, Ila muda wa kunufaika mizengwe ndio kama hii inaaibuka, Dah poleni sana.Mbaya zaidi msimu wa korosho kunakuwa na makato ya pembejeo ambayo unakatwa
Sio bure, wanakatwa wakiuza korosho.Nunua mzee
Mtoa mada Andamaneni.Sio bure, wanaktwa wakiuza korosho
Mwaka jana makato ya pembejeo nilikatwa zaidi ya Shilling 50 elfu mbaya zaidi hata pembejeo yenyewe sikuchukua inauma sana.Sio bure, wanaktwa wakiuza korosho
Mwaka jana tulikatwa sijui mwaka huu itakuwajeNa makato ya pembejeo ni lazima?
Kuna mambo ni upuuzi mtupu.Sina maneno mengi Swali langu kwa Mheshimiwa waziri wa kilimo mimi nina mikorosho zaidi ya 40 wengine wana mikorosho zaidi ya 100 lakini unapewa chupa moja ya salfa ya maji na chupa moja ya wadudu munagawana nusu kwa nusu watu wawili kama lengo kumsaidia mkulima chupa moja na nusu itamsaidia kweli?
Walikatwa 110 na serikali ikasema itawachangia 110.. Ila ni kama uhuni tu unaendeleaNa makato ya pembejeo ni lazima?
Uliandika jina la kuomba pembejeo?Mwaka jana makato ya pembejeo nilikatwa zaidi ya Shilling 50 elfu mbaya zaidi hata pembejeo yenyewe sikuchukua inauma sana.
Hizo sulphur hawapati bure. Msimu uliopita ni kama serikali waliongea na buyers wadeduct TZS 110 kwa kila kilo wanapotender kununua Korosho na hiyo 110 walichukuwa serikali kwaajili ya kuwalipa wazabuni waliokopesha sulphur kwa wakulima wote.Kuna mambo ni upuuzi mtupu.
Ni kwanini Serikali badala ya kugawa Bure, wasitengeneze mazingira hizi Pembejeo na madawa vipatikane kwa gharama ambazo hazitamuumiza Mkulima?
Huku wa Korosho wanagaiwa Sulphur bure, na wanalalamika haiwatoshi. Sisi wa mahindi hamna anayetujali. Ni kwanini hizo pesa wanazotumia kununulia Sulphur wasii subsidize kwenye Pembejeo zote ili kuleta unafuu kwa wakulima wote?
Hii double standard ambayo hata Mlengwa anailalamikia inamnufaisha nani hasa?
Sina maneno mengi Swali langu kwa Mheshimiwa waziri wa kilimo mimi nina mikorosho zaidi ya 40 wengine wana mikorosho zaidi ya 100 lakini unapewa chupa moja ya salfa ya maji na chupa moja ya wadudu munagawana nusu kwa nusu watu wawili kama lengo kumsaidia mkulima chupa moja na nusu itamsaidia kweli?