Kama hawajabadili utaratibu huwa kuna intake mbili, moja huwa mwezi wa tatu na nyingine huwa mwezi wa saba kila mwaka, lakini nashauri ni bora ukalenga ile ya mwezi wa tatu mwakani so tuma maombi yako pale wizarani sasahuwa wanatuma maombi yao wizara ya afya mkuu,bt cjajua huwa ni wakati gani!
wana jf nisaidieni vyuo vinavyotoa assistant medical officer hapa nchini na contact zao..ni heri nitafute diploma tu
Dah asante mkuu..nimepata contact zao na nimeongea nao..sasa sijui nianzie wapi mana principal wa pale anasema wao wanafunzi wanaletewa na wizara ya afya[/QU kama ni pale COTC ni PM 2tasaidia zaidi pale panapowezekana pia 2tajaribu kuongea nae prncpal atusaidie kama kuna uwezekano huo coz i knw him kwa ujiran zaidi.
wewe kichwan mtupu,we si ndio discontinued students from university of dodoma due to minimum Gpa, we stupid yani wewe ku-disco na wenzako ndio wasisome, shame upon you!
mijitu mingine bana ilimradi tu lionekane limepost..
Poleni sana wote mliokosa mkopo, msikate tamaa.