Chuo Bora Cha private diploma kwa course ya dental au radiology

Chuo Bora Cha private diploma kwa course ya dental au radiology

Chiclette

Senior Member
Joined
Feb 17, 2024
Posts
133
Reaction score
222
Habari Wana JF ....nimefanya maombi ya chuo diploma serikalini ila sijapata hovyo naulizia chuo Cha private kizuri ambacho naweza pata mojawapo ya hzo course nikasome maana Nina mpango wa kwenda degree
 
Haina shida mkuu kwani uko mtwara ya wapi Congo au hii hii ya Tanzania?
Stand up and fight for your career boss.
 
City college mwanza wacheck hao ndo wameanza kutoa hizo kozi,kuhusu ubora Sina details sababu ndio wanaanza
 
Back
Top Bottom