Chuo bora cha tuagaidi ni kipi?

Joined
Mar 1, 2013
Posts
13
Reaction score
0
Habari zenu wana JF'naombeni mniambie ni chuo gani bora hapa nchini kinachofaa kusomea coz ya tuagaidi kwa ngazi ya certificate
 
kimoja kipo ukerewe, kinamilikiwa na mtandao wa akina ritz-one, kingine kipo zenji kinaongozwa na wanauamshoo
 
Lugha gongano swanglishi sijui nikujibuje habari zako hazijitoshelezi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…