Chuo bora hakipo tusiulizane hapa.....

Chuo bora hakipo tusiulizane hapa.....

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Kuna maswali chuo bora,kwa Africa tuwachie Africa kusini,Maendeleo na huduma za jamii vinaendana,nchi zinazoendelea hakuna huduma bora za jamii,Tanzania haiwezi kua na chuobora kwa matokeo ya Necta2012labda waletwe wanafunzi wa nchi zingine.
 
Back
Top Bottom