BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Mar 10, 2013 #1 Kuna maswali chuo bora,kwa Africa tuwachie Africa kusini,Maendeleo na huduma za jamii vinaendana,nchi zinazoendelea hakuna huduma bora za jamii,Tanzania haiwezi kua na chuobora kwa matokeo ya Necta2012labda waletwe wanafunzi wa nchi zingine.
Kuna maswali chuo bora,kwa Africa tuwachie Africa kusini,Maendeleo na huduma za jamii vinaendana,nchi zinazoendelea hakuna huduma bora za jamii,Tanzania haiwezi kua na chuobora kwa matokeo ya Necta2012labda waletwe wanafunzi wa nchi zingine.