CHUO Cha TABORA EA polytechnic kimekuwa JANGA kwa wanafunzi wanaosoma hapo kwani wanachuo wanalazimishwa kumaliza ada ya mwaka mzima ndani ya semester ya kwanza na bila hivo wasiomaliza hawafanyi mtihani hata kama wamebakiza elfu mbili tu.
Tunajua kwamba ada ndo inalipia gharama mbalimbali kama mishahara na huduma nyengine.
Cha kushangaza ni kwamba ndani ya semester ya kwanza wanaelekeza wanachuo kulipia ndani ya semester ya kwanza ada na michango mengine.
Tunaomba wizara inayohusika ifuatilie chuo hicho kinakiuka miongozo waliyoweka chuo chenyewe.