Chuo cha c.o lugalo

Chuo cha c.o lugalo

rashiro

Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
8
Reaction score
2
Jamani msaada kwa chuo cha C.O cha lugalo,je kuna uwezekano wa kupata nafasi?
Namna ya kufanya?
Msaada zaidi juu ya hilo maana hali yangu si nzuri
 
Back
Top Bottom