Black Butterfly
Senior Member
- Aug 31, 2022
- 130
- 368
Hicho sio Chuo,kipo nyuma sana baada ya kuanza kujijenga.kinataka kuanza kutoa PhD nawaonea huruma wanafunzi watarajiwa ya chuo tajwaUkute anayelalamika Ana supp
Hicho sio Chuo,kipo nyuma sana baada ya kuanza kujijenga.kinataka kuanza kutoa PhD nawaonea huruma wanafunzi watarajiwa ya chuo tajwa

Ulaya ni developed country wasomi walikua wengi kabla ya uhuru na baada,ila Africa, Tanganyika mpaka Tanzania inazaliwa frequency ya wasomi na vyuo ilikua inafanana ni wachache au Kama hakuna,tusijifananishe nao.Kwa nchi za ulaya mbona PhD ni elimu ya kawaida tu na unasoma online tu haya mambo ya kukomoana yapo Africa tu
Masters na PhD sio za kusomea afrika utajuta
Ingia Instagram kwenye jamii forum wamepost chuo chako kwenye campus unayofanyia kazi(sina uhakika Kama mtumishi wa cbe).soma comments vipo vitu vingi vimeandikwa vitasaidia kujibu swali lako.Kipo nyuma kwenye nini?
Nikiwa kama mzazi wa binti anayesoma chuo hicho kuna mapungufu nitayabainisha kwa nia ya kusaidia mkuu wa chuo na director of undergraduate studies wayachukue wayatatue
1. Kuna shida kubwa ya ratiba za vipindi yaani mtoto anaondoka asubuhi anarudi usiku na ukitazama hapo katikati kuna gap kubwa bila vipindi. Hii ni mentality ya kiswahili kwamba kijana anayesoma hahitaji kufanya shughuli nyingine yaani mtu wa Morning session hana tofauti na evening programs. This is total wrong
2. Kuja kwenye utoaji wa matokeo kupitia platform yao wanayoiita cosis ya online, matokeo yamekuwa yakibadilika badilika. Its like the system haiko secure,stable and reliable.Hawana jinsi watangaze tenda wampe software developer mwenye uwezo vijana wao hii cosis na website nzima ya cbe haiko very user friendly. Inawezekanaje kwenye website hupati prospectus ya chuo, almanac etc
3. Miundombinu wakati wa mvua wajaze udongo chuo kinyanyuke na wajenge mifereji mikubwa ya kutoa maji nje. Yaani unajenga madarasa mazuri ya vioo ambayo structural design inabidi yawe yanawashwa aircondition halafu unaweka feni mbovu hazifanyi kazi. Kuna tatizo la supervision kwa wakandarasi wanaojenga majengo mapya,
4. Utatuliwaji wa matatizo ya matokeo yaani coursework kutokuonekana yanachukua muda mrefu sana mwanafunzi anaweza akaenda mwaka unaofuata bila coursework kusomeka vizuri ilihali kila mtihani wake upo na matokeo yapo anaambiwa nenda kwa Head of dept. Kuna uswahili fulani kwenye utendaji wa watendaji hapo cbe.
5. Kielimu wanajitahidi kutoa content iliyo nzuri lakini resource hasa online library ni kama vile haipo au ipo kwa ajili ya watu wa nje wanaoenda short course.
Hicho sio Chuo,kipo nyuma sana baada ya kuanza kujijenga.kinataka kuanza kutoa PhD nawaonea huruma wanafunzi watarajiwa ya chuo tajwa
Ingia Instagram kwenye jamii forum wamepost chuo chako kwenye campus unayofanyia kazi(sina uhakika Kama mtumishi wa cbe).soma comments vipo vitu vingi vimeandikwa vitasaidia kujibu swali lako.
Alafu wanatoa course za IT hii nchi bwana ni shida kila kona,tunatengeneza jamii ya watu wa aina gani tuko serious kweli sisi Kama taifa?
Hili swala la ratiba washalirekebisha now unakuta kwa siku kipind kimojaNikiwa kama mzazi wa binti anayesoma chuo hicho kuna mapungufu nitayabainisha kwa nia ya kusaidia mkuu wa chuo na director of undergraduate studies wayachukue wayatatue