Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Ni sawaChuo cha cbe ni chuo cha biashara ila wanafundisha it,chuo cha ifm ni chuo cha usimamizi wa fedha
lakini wanafundisha it na computer science,chuo iaa ni chuo cha uhasibu kinafundisha computer
science na it je ni sawa vyuo hivi kufundisha kozi hizi sawa au ni biashara ya kijifedha
Chuo cha cbe ni chuo cha biashara ila wanafundisha it,chuo cha ifm ni chuo cha usimamizi wa fedha

tatizo nikiangalia jina la chuo......na mtu ukisoma cbe,ifm na iaa cheti chako kufanya kazi nchi za zingine wanaweza wakashangaa jina la chuo....kozi