F fred beng Member Joined Mar 31, 2013 Posts 48 Reaction score 1 Mar 24, 2015 #1 Je ni kweli kuwa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Missungwi kinatoa course za mambo ya uhandisi wa ujenzi? Kama ni kweli tupia maoni yako jinsi unavyokifahamu itakuwa msaada sana kwangu.
Je ni kweli kuwa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Missungwi kinatoa course za mambo ya uhandisi wa ujenzi? Kama ni kweli tupia maoni yako jinsi unavyokifahamu itakuwa msaada sana kwangu.