Chuo cha Computer Science

Chuo cha Computer Science

Jahace

Senior Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
101
Reaction score
5
Kuna dogo langu kamaliza form four mwaka jana na matokeo yake ni
math-D
physics-D
chemistry-D
kiswahili-D
geography-D
history-D
biology-C
english-D
civics-D
na anapenda sana kwenda college kusomea Computer Science,yeyote mwenye mapendekezo ya chuo gani kizuri ajiunge naomba awasilishe na Je atanzia certificate au Diploma???:A S check_03:
 
what about UDSM,UDOM,RUCo,Mzumbe University...etc?
 
UDSM, RUCO na SUA vinafundisha hii kozi. UDSM wako competent.
 
UDSM wako competent kivipi???nikiwa na maana kwamba competent educationally or in admission or what?..etc more elaboration pliz
 
Kama vp anaweza kwenda Open University Kinondoni pale wanatoa hiyo kozi. Lakin ndo wameanza mwaka huu.
 
Hivi mtu aliyefeli form four anaweza kurudia form two bila matatizo yoyote
 
UDSM wako competent kivipi???nikiwa na maana kwamba competent educationally or in admission or what?..etc more elaboration pliz

Mbona huyo amefaulu vizuri tu..kama atataka udsm comp scienc dept ni fresh..wanaweza mchukua maana masomo wanayoyataka ni physcs, na maths..ila nadhan ataanzia certificate..kuna mshkaj wang mmoja walimtosa kisa mswaki wa maths..so anayo advntg ucc bei ghali kwa kweli..
 
Back
Top Bottom