Acha dharau dogo,ndo maana ccm wamewazidi ujanja wanajitungia katiba yao wanayoitaka,ujuaji wa kipuuzi umewazidi wabongo,hivyo vyuo vyko vya maana vimekusaidia nini kama sio kushinda jf na kupiga majungu tu...!!
dah.... hivi dunia hii kuna watu wanahoji aina ya chuo huyo dogo nazani hajawahi kukijua hicho chuo...amuulize baba yake au waliomzidi chuo sifaa ya hicho chuo.....pia sisi wengine tupo kwenye systm kitambo tunajua mambo y ajira yanaendaje hatujakurupuka....dogo kitaa kigumu....maliza na chuo chako unachojisifu uone