Chuo cha global college, dsm tanzania bado hakijasajiliwa

Chuo cha global college, dsm tanzania bado hakijasajiliwa

Somoleo

Member
Joined
Sep 22, 2010
Posts
13
Reaction score
1
HABARI WANAJAMII WOTE

NASHUKURU KUJIUNGA NA WANAJAMII WENZANGU ILI KULETA HOJA, ELIMU NA MABADILIKO KATIKA JAMII PALE PANAPOWEZEKANA.
NIKIWA MMOJA KATI YA WATU WANAOPENDA MAENDELEO KIELIMU, NIMEKUJA FAHAMU KWAMBA CHUO CHA GLOBAL COLLEGE, DSM TANZANIA BADO HAKIJASAJILIWA (i.e. NACTE) WALA KUTAMBULIWA NA TAASISI YA VYUO TANZANIA.

HALI HII INAFANYA WAHITIMU WA CHUO HICHO (i.e. CERTIFICATES AU DIPLOMA GRADUATES) KUTOSAJILIWA KATIKA VYUO VINGINE (i.e. IFM, CBE, UDSM n.k.) NA PIA KUONEKANA NI WADUNI KIELIMU PALE WANAPOOMBA KAZI BAADHI YA MAENEO.
HOJA YANGU NI KWAMBA:
1) INAKUWAJE CHUO WANARUHUSIWA KUJITANGAZA SANA WAKATI HAKINA USAJILI.
2) IDARA NA TAASISI ZA SERIKALI ZIPO NA ZINASHINDWA KUFUNGA VYUO KAMA HIVI? E KUNA WAHESHIMIWA WANA HISA ZAO HUKO?

3) WATANZANIA WANALIPA ADA HAPO ILI KUSOMA LAKINI WANASHINDWA KUJIUNGA NA VYUO VINGINE WANAPOHITAJI, HUU SI WIZI!!!


Somoleo
 
Poleni sana Ndugu Somoleo kwa kusoma chuo cha mtaani,hakuna wa kumlaumu bali wewe mwenyewe na wazazi / walezi wako ambao walipaswa kufanya utafiti kabla ya kujiunga.Serekali kwa upande mwingine hawawezi kukwepa lawama kwa uzembe wa hali ya juu inakuwaje vyuo vya mitaani vinaachiwa kufanya kazi wakati vipo vyombo vyenye wajibu wa kuzuia uhuni wa aina hii.
 
Back
Top Bottom