Chuo cha IFM enzi za zamani katika ubora wake


Unataka comment ee juu ya IFM. Basi hiki chuo ni cha "hovyo" kama akili zako.
 



Je unajua maana ya SAYUNI????????????? sikutegemea mwanamke ane jielewa na kutumia maneno kama hayo ya red hapo ila pole sana kubali kukosolewa saa nyingine wewe ni BIN-ADAM tu hauwezi kuwa sawa muda wote. Na siyo vizuri kuonyesha dharau kwenye platform kama hii ambayo hata ukimzaa mtoto wako baada ya miaka kumi atakuwa na uwezo wa kuingia huku na kukuta thread kama hii umepost wewe mzazi wake itakuwa ni aibu ndugu. TAKE CARE FRIEND CC.prinsess sayuni

CC.SaaMbovu

:cool2::cool2::cool2:
 

It doesnt matter mtu lazima ajiheshimu uwezi kuchukulia kosa dogo la kikawaida na kushikia bango sijui vilaza katoa wapi na hapa hamna dharau wala nini mtu from nowhere anaingiza mambo sijui saumu ukilaza yanahusu nini na comment tatizo Watanzania wapenda kujiona wajuaji sana after all hamna aibu.wala nini akome kimbelembele chake na ajiheshimu kabla ya ku comment sio kuita watu vilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…