KwetuKwanza
Senior Member
- Mar 13, 2023
- 127
- 245
Karibu sanaaaNaomba niku karibishe rasmi katika chama pendwa Cha ma jobless pro max.
Upendo, umoja na utu ndio vipaumbele vyetu.
Mimi Intelligent businessman ni raisi wa chama cha ma jobless pro max, makamu ni Bolotoba,
katibu ni min -me, wakili wa ma jobless ni Selikavu, waziri wa mambo ya ndani Thecoder, msajili wa chama Cha ma jobless ni dosho12, mratibu wa mipango ni Edo kissy
Msemaji wa chama Cha ma jobless pro max ni makutupora
Kidumu chama Cha ma jobless pro max
View attachment 3233118
Kaona kazi TRA analialia oya kuna wenzio wana miaka 10 mtaani huku hawana ajira na vyeti wanavyo tena vimenyooka vipo tu vinapigwa na mavumbi wengine wameomba interview hawaitwi mpaka wamesahau kabisaNaomba niku karibishe rasmi katika chama pendwa Cha ma jobless pro max.
Upendo, umoja na utu ndio vipaumbele vyetu.
Mimi Intelligent businessman ni raisi wa chama cha ma jobless pro max, makamu ni Bolotoba,
katibu ni min -me, wakili wa ma jobless ni Selikavu, waziri wa mambo ya ndani Thecoder, msajili wa chama Cha ma jobless ni dosho12, mratibu wa mipango ni Edo kissy
Msemaji wa chama Cha ma jobless pro max ni makutupora
Kidumu chama Cha ma jobless pro max
View attachment 3233118
Kuna Jamaa ana PhD ya mathe, ila michongo nopeKaona kazi TRA analialia oya kuna wenzio wana miaka 10 mtaani huku hawana ajira na vyeti wanavyo tena vimenyooka
Ma bro mna zinguaππ, miaka 10 mwenzio ana wazia next weekVijana tulieni kama ipo ipo tu, unaweza ukapewa cheti leo ajira ukapata mwaka 2035
Next week labda kama kutembeza majagi π ila ajira ya kulipwa hela nzuri haipatikani kirahisi. Kutembeza majagi hakuhitaji hata chetiMa bro mna zinguaππ, miaka 10 mwenzio ana wazia next week
Miaka 10 msoto ajira hakuna watu wanasota tu jobless pro maxMa bro mna zinguaππ, miaka 10 mwenzio ana wazia next week
Sikuhizi vijana wamehamia kwenye kucheza dili chafu tu win win situation sitozitaja hapa ila kifo nje njeNext week labda kama kutembeza majagi π ila ajira ya kulipwa hela nzuri haipatikani kirahisi. Kutembeza majagi hakuhitaji hata cheti
Hahaha, ngoja aka jionee ππNext week labda kama kutembeza majagi π ila ajira ya kulipwa hela nzuri haipatikani kirahisi. Kutembeza majagi hakuhitaji hata cheti
ππππππ Hio win win situationSikuhizi vijana wamehamia kwenye kucheza dili chafu tu win win situation sitozitaja hapa ila kifo nje nje