Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Wangekuwa wapiga kura CCM wangekuwa wanaiba kura mchana kweupe?Sera ya CCM ni kuchafua jiji kwa namna yoyote Ile. Hata ukiweza kujisaidia haja kubwa Ocean Road yote, unaruhusiwa ili mradi tu uwe na kadi ya 🔰
Ngoja Waizunguke IKULU ya MAGOGONI tuone kama ni Moto wa PetroliHao wamachinga baadhi yao ni wale wahitimu wa vyuo vikuu walioshindwa kuajiriwa na Serikali mara tu baadavya kuhitimu masomo yao!
Hivyo wameamua kujiongeza kwa kujiajiri kama wamachinga. Ukiwachokoza hao ni sawa tu na kuchezea moto jirani na mafuta ya petroli!
Yakilipuka, tutaelewana tu kama Taifa.
Mmoja wa makarani alikuwa anasumbuliwa na kifaduro kilichosababisha akosee kuandika.
Na nani? Wapo na watakuwapo, siku hazigandi.Wameshapewa notice wiki jayo ndio mwisho wao
Na taka kuona magego ya mamlakaNa nani? Wapo na watakuwapo, siku hazigandi.
Wameshapewa notice wiki jayo ndio mwisho wao
Hata wanaopanga bidhaa zao nje ya maduka yao ni kero wanazuia maduka ya wengine yasionekaneSera ya CCM ni kuchafua jiji kwa namna yoyote Ile. Hata ukiweza kujisaidia haja kubwa Ocean Road yote, unaruhusiwa ili mradi tu uwe na kadi ya 🔰
Kwa hiyo nchi isiwe na utaratibu, yani watu wavunje sheria tu alafu tufunge mahakama na magerezaHao wamachinga baadhi yao ni wale wahitimu wa vyuo vikuu walioshindwa kuajiriwa na Serikali mara tu baadavya kuhitimu masomo yao!
Hivyo wameamua kujiongeza kwa kujiajiri kama wamachinga. Ukiwachokoza hao ni sawa tu na kuchezea moto jirani na mafuta ya petroli!
Yakilipuka, tutaelewana tu kama Taifa.
Siyo jukumu la serikali kuwaajiri wahitimu wa vyuo, na kukosa ajira siyo sababu ya kuhalalisha uvunjaji wa sheria na kanuni.Hao wamachinga baadhi yao ni wale wahitimu wa vyuo vikuu walioshindwa kuajiriwa na Serikali mara tu baadavya kuhitimu masomo yao!
Hivyo wameamua kujiongeza kwa kujiajiri kama wamachinga. Ukiwachokoza hao ni sawa tu na kuchezea moto jirani na mafuta ya petroli!
Yakilipuka, tutaelewana tu kama Taifa.