A
Anonymous
Guest
Karibia asilimia 90% ya wahitimu wa chuo kikuu Cha Kairuki bado hawajapatiwa nakala za matokeo(result transcripts) yao Hadi hii Leo.
Tunalalamika kwasababu tunakosa fursa za ajira zinatotangazwa Kila siku mitaani. Wengi wa waajiri wanataka tuattach result transcripts ambazo hatuna.
Tukifuatilia chuoni wanasema wanalifuatilia Kila siku huu ni mwaka sasa. Leo hii serikali ikitoa ajira hatutakuwa na vigezo vya kuomba ajira Hizo kwani ni lazima tuwe na nakala ya matokeo ya chuoni(result transcripts).
Hii ni kero kubwa inayotuumiza sana. Tunaomba walifanyie kazi mwezi wa tatu nakala zote ziwe zimeshatoka.
Naomba kuwasilisha.
Asante.