Chuo cha kilimo(MATI-ILONGA}

Chuo cha kilimo(MATI-ILONGA}

double click

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
569
Reaction score
949
wakuu,
Samahani sana nipo mbali na chuo nimechaguliwa kujiunga na chuo tajwa hapo juu mpaka sasa sijajua vitu gani vinahitajika chuoni kama vile ada na mahitaji mengine. Kwenye sanduku la posta sijafanikiwa kutumiwa joining instruction.
Kwa yoyote anaeweza kunisaidia kupata joining instruction. Tafadhal asisite kutoa mchango wake.
Mbarikie
 
umechaguliwa diploma au certificate????majina umeyaona wap??
 
Wadau mliochaguliwa mati ilonga mmejuaje?msaad wenu unahtajka hap tafadhar
 
Mwalimu Khamis bado yupo hapo MATI ILONGA? Nimekaa sana hapo miaka ya 80's maeneo ya mkono wa mara na msalabani then nikawa nasoma chuo cha ualimu hapo ilonga vimepakana.
 
Back
Top Bottom