wakuu,
Samahani sana nipo mbali na chuo nimechaguliwa kujiunga na chuo tajwa hapo juu mpaka sasa sijajua vitu gani vinahitajika chuoni kama vile ada na mahitaji mengine. Kwenye sanduku la posta sijafanikiwa kutumiwa joining instruction.
Kwa yoyote anaeweza kunisaidia kupata joining instruction. Tafadhal asisite kutoa mchango wake.
Mbarikie