Malyamungu
JF-Expert Member
- Jul 5, 2009
- 363
- 12
Ndugu wana JF Hbari za hapa nyumbani natumaini wote wazima wa afya.
Wandugu, nina swali langu kwamba ni chuo gani kinachojulikana kitaifa / kimataifa au nikionyesha cheti cha ukalimani kikubalike huku ughaibuni? Kwa ujumla ninahitaji kozi fupi, pengine UDSM na ni kwa muda gani? Msaada wenu jama
kinatoa kozi fupi kwa ajili ya ukalimani?