Jeff Albert Senior Member Joined Jul 19, 2015 Posts 136 Reaction score 37 Jul 22, 2015 #1 Jamani samahani nani ana ndugu,jamaa au rafiki anayesoma pale chuo cha kodi mikocheni kuna mambo nataka anisaidie napiga namba ya chuo hawapokei
Jamani samahani nani ana ndugu,jamaa au rafiki anayesoma pale chuo cha kodi mikocheni kuna mambo nataka anisaidie napiga namba ya chuo hawapokei
dkashombo2013 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2013 Posts 539 Reaction score 119 Jul 22, 2015 #2 Jeff Albert said: Jamani samahani nani ana ndugu,jamaa au rafiki anayesoma pale chuo cha kodi mikocheni kuna mambo nataka anisaidie napiga namba ya chuo hawapokei Click to expand... Uliza tukusaidie
Jeff Albert said: Jamani samahani nani ana ndugu,jamaa au rafiki anayesoma pale chuo cha kodi mikocheni kuna mambo nataka anisaidie napiga namba ya chuo hawapokei Click to expand... Uliza tukusaidie
Jeff Albert Senior Member Joined Jul 19, 2015 Posts 136 Reaction score 37 Jul 22, 2015 Thread starter #3 nataka kudownload app form nipo mbali na dar alafu tovuti yao haifunguki na trh 31 ndo mwisho wa kupokea maombi unaweza nisaidiaje ndugu
nataka kudownload app form nipo mbali na dar alafu tovuti yao haifunguki na trh 31 ndo mwisho wa kupokea maombi unaweza nisaidiaje ndugu