Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kinaongozwa kiaina na Mkuu wa Chuo aliyestaafu?


Wewe ni msukule wake, endelea kunyonywa dawa na huyo Mchawi aliyeshindikana. Msukule hua haijitambui, endelee hivyo hivyo na utashuhudia tofauti na unafikiria na ubangusile wako. Huna hadhi kwanza ya kujibizana hapa kwa upeo wako mdogo. Huyo bwana wako atafuatiliwa hadi kaburi na hana muda mrefu kwa madhambi ya uchawi wake.
 
We msukule wa unaemtetea soma hapa na uendelee kunyonywa damu hadi uokoke kwa upopo wako.


Wana JF kumekuwa watu hususan Mkuu Uzalendi, Mpalamtoko na wengine juu ya tuhuma za chuo hicho, hapa naweka barua iliyoandikwa na bwana Mabuba kwenda kwa mkuu wa chuo. Kumbukeni ndugu huyu naye ni mtuhumiwa, amekuwa akituhumiwa kutoa vyeti feki. Nitajitahidi kuwaletea kila doc nitakayoipata.


Tuhuma hizi kama ni kweli, basi vyuo kazi ipo.
Attached Files
 

We juha mbona mara kadhaa tulishasema kuwa haya yako ni upopo tuu...Leo unajifanya ni mtetezi ilhali tunajua wewe ni staff juha unayetarajia kutumika pasipo kufanya kazi.Umempigia kelele mzee wa watu mpaka kastaafu na ufisadi wake. Endelea kumtetea ila sasa hana hela ya kukupa maana hana pa kuiba tena. Acha upopo pingana na ufisadi popote.
 

Wewe mwenyewe hujitambui na hakuna solution utayoipata hapa zaidi ya kujitafutia stress zaidi.Uvivu wako na akili yako iliyovia ni chanzo cha wewe kutokufikiri sawa sawa na nilishakwambia mara kadhaa kama hautatumikisha akili yako na kuongeza bidii katika kazi utabaki kuja unalialia tu hapa JF na hakuna mtu anayekupa uzito.Ukitaka kujua kuwa watu walishakudharau ni kwa namna ambavyo hawana muda na mabandiko yako humu na wewe kuishia kucomment kwenye post zako mwenyewe.Mara zote nimekuwa nikijiuliza kama wakufunzi wa chuo hicho wana uwezo mdogo kama wako ni product gani ya graduates tutegemee kutoka hapo?Katika kuthibitisha jinsi uwezo wako wa kufikiri umefika ukomo umeng'ang'ania kufanya kazi kwa mwajiri ambaye humuamini?Laiti kama ungalikuwa na uwezo mbona vyuo vingi ungeweza kwenda ukapata ajira ukafanya kazi na kuachana na sehemu ambayo kila siku unakuja kutuweka bize humu kusoma u.jinga wako?
 
Kama huna ubia toa hoja zenye ushahidi wa unachozungumzia. Chuo sasa ni Chuo cha Kumbukumbu ya mafisadi na kinaendeshwa kifisadi, ushahidi ni wazi fika pale muulize yeyote utapata ukweli.

Sina haja ya kufika huko ili nipate ushahidi wakati wewe unayelta claims upo hapa! Anza wewe!
 

Wee naona una mgao kwa ufisadi wanaoifanyia Chuo hicho maana hoja yako haina ushahidi wala utafiti, wakati yaliyoelezwa ni ukweli mtupu. Hata baada ya kustaafa anaongoza Chuo kinyemela na kifisadi. kwa madhambi yake atafuatiliwa hadi kaburini. Endelea kumtetea upate ujira wako wa upopo na ufuasi wa ufisadi ila mtaumbuka tuu wote kwani ni suala la muda tuu. Sitaendelee kulumbana na wewe kwa kuwa upeo mwako ni mdogo na umefungwa na kipato cha kifisadi kutoka kwa mafisadi.
 

Chuo hiki sasa hadi inatia kinyaa, matatatizo kila wakati. Mamlaka husika ziko wapi au hawasomi humu, wadau wapeni taarifa hizi ili waisafishe Chuo hiki.
 

Tumekupata, unamaanisha yanayosema si kweli? Ebu tumegee kidogo ukweli unaoufahamu kuhusu hicho Chuo.
 
Tumekupata, unamaanisha yanayosema si kweli? Ebu tumegee kidogo ukweli unaoufahamu kuhusu hicho Chuo.

Kijana fanya kazi utengeneze maisha yako,familia yako na taifa kwa ujumla wake.Haya mambo ya uvivu uvivu kazini ndo matokeo ya kuleta majungu na uzandiki kwenye hizi forums.Matatizo ya kitaasisi yanatatuliwa kitaasisi kwa kupitia taratibu zilizowekwa na ambazo naanimi kama mngeamua kutumia akili zenu kidogo tu mngeelewa.Ila kwa ustaarabu huu wa kutofanya kazi na kuendekeza majungu Tanzania itaendelea kubaki nyuma na hata hiyo EAC bora tusifungue mipaka ya ajira coz itakuwa ni aibu kama professionals tulinao ni wa aina yenu.Mungu Ibariki Tanzania.
 
Hiki ni chuo au ? tupo likizo sasa lakini kunawanafunzi hawajapata Bumu. mambogani .kama kunauwezekano niambieni nikihame mapema mnaojua uhamisho wa chuo Upo
 
Chuo hiki sasa hadi inatia kinyaa, matatatizo kila wakati. Mamlaka husika ziko wapi au hawasomi humu, wadau wapeni taarifa hizi ili waisafishe Chuo hiki.

Huna jipya mbona siku nyingi ameondoka?
 
Huna jipya mbona siku nyingi ameondoka?

Tumia ubongo kufikiri wewe, nani kauambia mchawi hundoka moja kwa moja. Au na wewe upo msukule huwezi kufikiri tena? Pole sana ila habari ndio hiyo sisi wanafunzi tunaogopa hata kurudi pale kwa hali ilivyo kwa sasa kila kitu ovyo, kaondoka kaacha uharo nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…