Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwl Nyerere -CCM washindwa Urais

Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwl Nyerere -CCM washindwa Urais

mashikolomageni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2010
Posts
1,570
Reaction score
188
Katika muendelezo wa ccm kukataliwa na wanavyuo vya elimu ya Juu kada wa ccm Mahendeka Nsena ameangushwa vibaya kwenye uchaguzi wa raisi wa serikali ya wanafunzi MASO kwenye uchaguzi uliofanyika leo, Mshindi ni Ndg. Chacha Nchangwa ambaye alikuwa akiungwa mkono na wana CDM.
Peoplezzzzzzzzzzz Power inaendelea kuonekana
 
safi sana huu mwendo unafurahisha,vyuo vyote peoploooooozzzzzz......
 
Back
Top Bottom