Si ndio mnasemaga wazungu hawana uchu wa madaraka kama viongozi wa afrika.
Halafu Trump toka mwanzoni alikuwa anaonekana hayupo sawa kichwani nikawa nashangaa hawa wamarekani hawaoni hili?wengine wakasema oh ukiona hivyo ujue sijui system imempipitisha,haya kiko wapi?